Thursday, May 24, 2007

Father's Love Letter



Father's Love Letter is a compilation of bible verses from both the Old & New Testaments that are presented in the form of a love letter from God to the world. Below is the love letter translated into Swahili. Visit www.fatherslove.com for more translations. Also check out different countries at fatherlovestheworld.com.


Barua ya Upendo wa baba Mtoto wangu ...

Yawezekana ya kuwa hunijui lakini najua kila kitu juu yako.
Zaburi 139:1

Najua kukaa kwako na kuondoka kwako.
Zaburi 139:1

Nazifahamu njia zako zote. Zaburi 139:3

Hata nywele za kichwa chako najua hesabu yake.
Mathayo 10:29-31

Kwa sababu uliumbwa kwa mfano wangu.
Mwanzo 1:27

Ndani yangu unaishi na kutembea. Matendo 17:28

Kwa sababu wewe ni uzao wangu. Matendo 17:28-1

Nalikujua kabla sijakuumba. Yeremia 1:4-5

Nalikuchagua wewe nilipopanga kuumba ulimwengu.
Waefeso 1:10-12

Hakuna makosa kwa sababu hata siku zako zimeandikwa katika kitabu changu.
Zaburi 139:15-16

Niliamua juu ya kuzaliwa kwako na mahali utakapokaa.
Matendo 17:26

Wewe uliumbwa kwa jinsi ya ajabu ya kutisha. Zaburi 139:14

Nalikuunga pamoja katika tumbo la mamako. Zaburi 139:13

Nikakutoa tumboni mwa mama siku uliyozaliwa. Zaburi 71:6

Nimekosa kujulikana na kuwakilishwa nao wasionijua.
Yohana 8:41-44

Sijakasirika lakini upendo wangu umekamilika. 1 Yohana 4:16

Na ni mapenzi yangu kukuonyesha upendo wangu kwako.
1 Yohana 3:1

Hii ni kwa sababu wewe ni mwanangu na mimi ni babako.
1 Yohana 3:1

Nimekupa mambo ambayo babako wa duniani hawezi kukupatia.
Mathayo 7:11

Kwa sababu mimi ni baba mkamilifu. Mathayo 5:48

Kila kipawa kizuri hutoka mikononi mwangu. Yakobo 1:17

Kwa sababu mimi nakupa mahitaji yako yote. Mathayo 6:31-33

Mipango yangu kwa ajili yako ni kwa sababu nakupenda kwa upendo wa milele.
Yeremia 31:3

Mawazo yangu kwako hayawezi kuhesabika ni kama mchanga wa baharini.
Zaburi 139:17-18

Najifurahisha na vipaji vyako. Sefania 3:17

Sitaacha kukutendea mema. Yeremia 32:40

Kwa sababu wewe ni mali yangu ya thamani. Kutoka 19:5

Napenda kukupanda katika nchi kwa moyo wangu na nia yangu.
Yeremia 32:41

Napenda kukuonyesha mambo makuu usiyoyajua. Yeremia 33:3

Ukinitafuta kwa moyo wako wote utanipata. Kumbukumbu 4:29

Nitegemee mimi nami nitakupa haja za moyo wako. Zaburi 37:4

Kwa sababu ni mimi ambaye huwapa watu haja za moyo wao.
Zaburi 37:4

Maana ni mimi ninayekupa hayo mahitaji yako. Zaburi 2:13

Ninao uwezo wa kufanya makuu kuliko uyawazayo. Waefeso 3:20

Kwa sababu mimi ndiye niwezaye kukuimarisha. 2
Wathesalonike 2:16-17

Tena mimi ndiye ninayewapa wanaohitaji mahitaji yao. Zaburi 2:13

Ninao uwezo wa kukutendea makuu kuliko unayofikiria.
Waefeso 3:20

Kwa sababu mimi ndiye ninayekupa nguvu.
2 Wathesalonike 2:16-17

Tena mimi ni baba anayekufariji wakati wa shida yako.
2 Wakorintho 1:3-4

Wakati moyo wako umevunjika niko karibu kukufariji. Zaburi 34:18

Kama mchungaji anavyomchukua mwanakondoo nimekuchukua ndani ya moyo wangu.
Isaya 40:11

Nitayafuta machozi katika macho yako.
Ufunuo 21:3-4

Na maumivu yako uliyoyapata hapa duniani nitayaondoa.
Ufunuo 21:3-4

Mimi ni babako na ninakupenda kama nimpendavyo mwanangu Yesu Kristo.
Yohana 17:23

Kwa sababu ndani ya Yesu upendo wangu huonekana.
Yohana 17:26

Yeye huniwakilisha kuweko kwangu. Waebrania 1:3

Alikuja kuonyesha kuwa mimi niko upande wako si kinyume chako.
Warumi 8:31

Na kukuambia ya kuwa sitakuhesabia makosa yako.
2 Wakorintho 5:18-19

Yesu alikufa ili mimi na wewe tuunganishwe pamoja.
2 Wakorintho 5:18-19

Kifo chake kilionyesha upendo wangu kwako. 1 Yohana 4:10

Nilitoa yote ninayopenda ili nipate wewe na upendo wako.
Warumi 8:32

Ukipokea zawadi ya mwana wangu ndipo unanipokea mimi.
1 Yohana 2:23

Hakuna chochote kitakachoweza kukutenganisha na upendo wangu.
Warumi 8:38-39

Karibu nyumbani na nitaandaa karamu ambayo haijaonekana huku mbinguni.
Luka 15:7

Nimekuwa baba yako na nitaendelea kuwa baba yako milele.
Waefeso 3:14-15

Swali langu kwako, je, utakubali kuwa mwanangu?
Yohana 1:12-13

Nakungojea wewe. Luka 15:11-32


Nakupenda, Kuyu ni Babako Mwenyezi Mungu

Wednesday, May 23, 2007


I have spoken with numerous individuals in recent weeks that adhere to various philosophies, belief systems, and world views. It is interesting to discover that many of them used to be Presbyterians, Methodists, Assemblies of God, and yes even Baptists. The common denominator is that none of them have ever come to an understanding of what it means to have "new life" in Christ. Their radical belief systems have now brought them to the place of denying the deity of Christ.


It sounds like quite a leap, but I am talking about people who now claim the teachings of wicca, new age philosophy, and ancient paganism. Wow, from protestant to pagan. How sad that many church attenders never hear the "claims of Christ." Most of these belief systems rail against individualism and yet when you peel back the layers, you discover a core of pride, arrogance and selfishness. I have much more to say, but until then ...


...stay off the paved road -craig


Wednesday, May 16, 2007

East Africa Pictures

Abstinence Education in Kenya Schools

New Church Building Under Construction

Children in School

Crossroads 2007 Mission Team
Kenya Pastor with Massai Children

The Massai Countryside

School Children

Massai Pastor at Kenya School

Pastor Craig Sharing at New Church Site

Tuesday, May 15, 2007

Pics from Ashley and Trey's Wedding














Sunday, May 13, 2007

THE WEDDING

It was with a great sense of joy that we celebrated the marriage of our daughter Ashley this past weekend. Ashley and Trey have started a journey that will be exciting, blessed, at times challenging, and yet extremely rewarding. It was my privilege to be able to perform the ceremony. As I stood facilitating their exchange of vows, I was reminded of the special way that God has blessed us through our children. It is been our special joy to raise, nurture, and guide Ashley over the past 21 years. I am also extremely excited about what I know God will do through Trey and Ashley as they commit their lives to be "on mission" with Him.
-craig
-pics coming soon